Revelation of John 14:14

Kuvuna Mavuno Ya Dunia

14 aNikatazama, hapo mbele yangu palikuwa na wingu jeupe, na aliyekuwa ameketi juu ya hilo wingu alikuwa “kama Mwana wa Adamu” mwenye taji ya dhahabu kichwani mwake na mundu mkali mkononi mwake.
Copyright information for SwhNEN